Hu Hut Lodge

Hotel & Lodge

Moshi, Tanzania

HU HUT LODGE Sunday, January 13, 2013 Saturday, January 12, 2013 SHEREHE ZA UFUNGUZI WA HU HUT LODGE Nembo ya HU HUT LODGE, kabla ya kufunguliwa katika kitambaa cheupe Wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini Ufunguzi wa HU HUT LODGE Baadhi ya Wageni wakisaini Daftari la Kudumu la Hu Hut Lodge, siku ya Ufunguzi Mkurugenzi wa Hu Hut Lodge, Bw. Dennis Swai, akijiandaa kufanya Tendo la Ufunguzi wakati wa Uzinduzi wa Hu Hut Lodge- Mjini Moshi Baadhi ya Wageni Waalikwa chini wakifuatilia kwa Makini tukio la Ufunguzi, wakati Mkurugenzi wa Hu Hut Lodge, Bw. Dennis Swai(juu) akijiandaa kuzindua Rasmi Hu Hut Lodge. Mkurugenzi wa Hu Hut Lodge, Bw. Dennis Swai, akisema neno lake la Busara kwa wageni waalikwa wakati akijiandaa kufanya Tendo la Ufunguzi wa Hu Hut Lodge- Mjini Moshi Hu Hut Lodge, baada ya kufunguliwa Rasmi. Mkurugenzi wa Hu Hut Lodge, Bw. Dennis Swai,(katikati) akipiga picha na baadhi ya ndugu na jamaa.baada ya Tendo la Ufunguzi wakati wa Uzinduzi wa Hu Hut Lodge- Mjini Moshi Mkurugenzi wa Hu Hut Lodge, Bw. Dennis Swai, akifungua Shampeni kabla ya Tendo la Ufunguzi wakati wa kuizindua Rasmi - Hu Hut Lodge- Mjini Moshi(Picha Zote kwa Hissan ya Mpiga Picha wa Hu Hut Lodge) Thursday, January 10, 2013 HU-HUT-LODGE & HOTEL Hu Hut Lodge, the first opened in the town of Moshi, so all are welcome to come for various needs, for food, sleep, medical care, and protection here is safe 24 hours, and our service is good from our staff . All are welcome, you can call the number +255-658-276932. Hu Hut Lodge, the first opened in the town of Moshi, so all are welcome to come for various needs, for food, sleep, medical care, and protection here is safe 24 hours, and our service is good from our staff . All are welcome, you can call the number +255-658-276932. Hu Hut Lodge, the first opened in the town of Moshi, so all are welcome to come for various needs, for food, sleep, medical care, and protection here is safe 24 hours, and our service is good from our staff .

About Hu Hut Lodge

Rating: 3.7/5

Phone: +255658276932

Website: http://huhutlodge.blogspot.de/

FOR LODGES, CAMPS & HOTELS: A full PMS. Free to start. Your lodge, run from your phone.

Claim your lodge — free — Start free — 1–3 rooms included, paid from the 4th room.

View full profile on AfricaTravelHub

List your business